Natafuta Mume

Huu mwandiko mbona kama nimeujuaa!!!!!

Nisije utongoza mara mbili, aisee kila la kheri
 
mara nyingi mnatoa mabango kama haya kutuchora, kama uko siriaz hebu njoo tutete
 
mm npo na vigezo vpo vyote na kazi yangu ni shamba boy km unavoniona karbu tuyajenge cpendi kuumizwa wala kuumiza cha msingi heshima kipaumbele cha ndoa
 
Hongera kwa kujilipua humu utapata lakini kuwa makini ktk upembuzi.
Nb
Sikupangii lakini unaweza fanya hivi; nenda pale unapoabudu ongea na kiingozi wako juu ya azma yako ya kutaka kuolewa kuwa akuweke ktk maombi. Hili litamfanya akukumbuke siyo ktk sala tuu bali hata inapotokea mtu anataka kuoa anakukumbuka
Kipindi tupo chuo hii mbinu ilitumika sana na watu wengi walio na kuolewa
kwani yeye umejua lengo lake?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom