Natafuta mume

Mimi ni binti na elimu ya degree natafuta mume
Vigezo
Elimu:masters na kuendelea
Umri:28-33
Kazi:uwe doctor au engineer utapewa kipaumbele kama ni mfanyabiashara uwe na uhakika wa kupata 1 million per month sitaki mwalimu wa aina yeyote yule
Dini:uwe mkristu pure madhehebu yoyote isipokuwa msabato sitaki
NOTE:
Kama haikuhusu pita kimya kimya kumbuka kupima HIV lazima kabla ya chochote pia uwe mrefu na handsome boy mweusi tii simtaki uwe maji ya kunde au mweupe kiasi sio mweupe kama papai.
Kama upo tayari nifate PM
Zaa wako umsomeshe akuoe..
 
Tender inaonekana kuwa ngum kwetu ila ukishusha vigezo kidogo tu, bidders watakuwa wengi
Ili urahisishe kuchaguaji
Naomba kuwasilisha
 
Aina ya uandishi pia humtambulisha aliye nyuma ya maandishi.
Unaonekana unatabia ya ukali ukali na ni mjeuri.
Hayo ni mawazo yangu tu lkn.
sio lazima yawe kweli.

Kila la kheri.
Bado na najihoji una taka Mume au unataka sifa.
Awe awe awe Engeneer,doctor,Masters na kuendelea,1 million per month.

Kuna wanawake (baadhi)wameolewa na wanaume wenye sifa hizo.
lkn ndoa zao zinapumulia gesi.
Kuna wanawake (baadhi)wameolewa na wanaume wenye sifa moja wapo tu kati ya hizo au hana kabisa..lkn ndoa yao ni ya mfano wa kuigwa.

Mume bora ni zaidi ya sifa
unaweza ukatafuta mume mwenye sifa ukapata lkn usipate apatait ya kuishi nae.
Bora mume tu pengne ndicho unachoweza kukumbana nacho mara baada ya kupata sifa

Ndoa /Mume ni swala pana sana.

anyway,kila la kheri.
 
Masters na kuendelea vigezo na masharti uzingatiwa..kila la kheri mkuu
 
Ukimpata urudishe majibu hapa...Usisahau pia kuwa good men who are interested to marry a woman of your callibre are very scarce...jaribu pia kutoa tangazo hili kwenye colleges za engineering na vyuo vya MDs pia.
 
hahahaha asante Jf
Yani mwanaume awe na sifa zote hizo afu awe hajapata mtu anakusubiri wewe, kwanza mwanaume ukiwa na hizo sifa unatongozwa wala hutongozi, hapo ulitakiwa utoe na counter offer, yani what special will you offer.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom