Natafuta mume

Kile kimino unachopendaga ndie aliyeninunulia
Upole wangu simanzi Eeeh!

Kwangu kupenda maradhi iiih!
Lakini kupendwaga mi nae bahati huwaga sina...

jichoni kwangu kibanzi Eeeeh!
ninakapenda kamanzi Iiih! Oooh Licha ya kumthamini kama shilingi tatizo hata
raha sina....
Ufinyu wa mboni zangu, unatazama mengi
yanayonipa mateso,
Ukweli hatakupenda sina raha! ona nakonda kwa
mawazo. Masikini penzi langu jina lishakatwa na kauli roho
inatoka kesho
Kutwa nzima mara Eeeh! Mara Iiiiii! Hata najuta
kupenda....
 
Bby aman y all dis
 
Nicheki nipo hapo
 
Ukimwambia mchungaji wako anaweza kuunganisha na braza kanisani!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…