Kichankuli
JF-Expert Member
- Dec 18, 2008
- 887
- 191
Unaishi wapi?Mimi ni mwanamke wa miaka 28, nina mtoto, ni mwajiriwa natafuta mwanaume wa maisha yangu awe mkristo miaka 30-36, mwenye ajira, mwenye hofu ya Mungu.Nimechoka kuumizwa.
Ukiona haikuhusu potezea sio kuandika matusi.
Umewahi kutafuta?!Kwani nyie Ndo wenye hisia pekeenuu??? Tutawatafuta tuuu
Umeonaeee... kwa lugha yake tu tayari ameshajipambanua kuwa yeye ni mtu wa namna gani...Ilitosha tu amshukuru kwa mchango wake.mbona mkali dada, kwa staili hii wadau watakuumua tu
mi nina salasini na saba je utanipenda?Mimi ni mwanamke wa miaka 28, nina mtoto, ni mwajiriwa natafuta mwanaume wa maisha yangu awe mkristo miaka 30-36, mwenye ajira, mwenye hofu ya Mungu.Nimechoka kuumizwa.
Ukiona haikuhusu potezea sio kuandika matusi.
Yesu atamkumbatia akiskia baridi sio... na haki yake ya usiku atampa?Ukimpata Yesu utakuwa umepata vyote
Wala hutaumizwa
Alibeba fadhaa zetu
Haya Karibu Tuongee, kama upo serious ni PM ili nikupe number yangu.Mimi ni mwanamke wa miaka 28, nina mtoto, ni mwajiriwa natafuta mwanaume wa maisha yangu awe mkristo miaka 30-36, mwenye ajira, mwenye hofu ya Mungu.Nimechoka kuumizwa.
Ukiona haikuhusu potezea sio kuandika matusi.