Natafuta mume wa maisha tafadhali

Natafuta mume wa maisha tafadhali

Eng. Kayombo

Member
Joined
Mar 6, 2012
Posts
21
Reaction score
9
Wadau,
mimi ni mdada wa miaka 27 nimemaliza chuo mwaka jana. Mweupe, mnene wa wastani, mrefu, sinywi pombe na sivuti sigara. Naishi maisha ya wastani. Mimi ni mkristo

Natafuta mwanaume wa kuwa naye ktk maisha awe na umri wa kuanzia miaka 26-40, awe anajitegemea kiuchumi(awe anajituma kufanya kazi), kabila, dini au rangi havina nafasi.

Kwa aliye tayari anaweza kuwasiliana nami kwa email hii. NIANDIKIE_LEO@YAHOO.COM.

Serious please. No jokes. Kama unaonaje sio lazima uchangie. Asanteni.
 
Ni pm nipo tayari!! Hata mim natafuta mke wa kuish nae.
 
Mi umri wangu ni 25 najitegemea vipi nitume applications?
 
Ni PM mara moja. Umenipata tayari, yaani sifa zote ninazo. Fanya haraka tafadhari.
 
Wadau,
mimi ni mdada wa miaka 27 nimemaliza chuo mwaka jana. Mweupe, mnene wa wastani, mrefu, sinywi pombe na sivuti sigara. Naishi maisha ya wastani. Mimi ni mkristo

Natafuta mwanaume wa kuwa naye ktk maisha awe na umri wa kuanzia miaka 26-40, awe anajitegemea kiuchumi(awe anajituma kufanya kazi), kabila, dini au rangi havina nafasi.

Kwa aliye tayari anaweza kuwasiliana nami kwa email hii. NIANDIKIE_LEO@YAHOO.COM.

Serious please. No jokes. Kama unaonaje sio lazima uchangie. Asanteni.

email address ndo joke
 
Umepata, nina sifa na vigezo vyote uvitakavyo nichek kwa cm no. 0659751370 tujadili kwa urefu na mapana hili suala, kama upo serious nitafute pls n pls!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom