makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,744
- 103,664
We usiniponze mimi, mtoto wa mwanamke mwenzioDada yupo vzr usiogope.
We usiniponze mimi, mtoto wa mwanamke mwenzioDada yupo vzr usiogope.
Uchoyo huoWanakuwa wamekuja kwaajili yangu shosti
Mie nilikiwa naelekea kwake, kama vipi nizuie hapa hapa, nifupishe safari.Basi wakija nigawie mmoja
Ha haaa msaidieni yupo serious.We usiniponze mimi, mtoto wa mwanamke mwenzio
Hivi mfano ukija kutaka kunioa nikakataa nikakuletea mwanamke mwingine umuoe utakubali? Tuongee uhalisiaUchoyo huo
Ngoja nimfikirie nitampa jibu lake 😂Ha haaa msaidieni yupo serious.
Hata mke wa pili 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️Ngoja nimfikirie nitampa jibu lake 😂
Mie nilikiwa naelekea kwake, kama vipi nizuie hapa hapa, nifupishe safari.


mambo si haya sasaNaoa tu, muhimu si ttunda tuHivi mfano ukija kutaka kunioa nikakataa nikakuletea mwanamke mwingine umuoe utakubali? Tuongee uhalisia
Tunda ndio ndoa yenyeweNaoa tu, muhimu si ttunda tu
Nitampa jibu kesho, acha nimfikirie kwanza 😂Hata mke wa pili 🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Naaam sheikhUnyama mwaisa..
Akisema ana shida ya laki, unamwambia awe na subira utamtumia laki na nusu, ila sasa hivi upo kwenye gari unaenda kigoma. 😂
Kesho sio mbaliNitampa jibu kesho, acha nimfikirie kwanza 😂