Natafuta mume wa kunioa tafadhali

hebu fafanua vzr tafadhari! Kama elimu,kabila nk na pia elezea elimu yako na uzoefu wako kwenye mapenzi.hope ur not a virgin.all the best.ngoja watakuja tu

umesahau kumuuliza na yy anafanya juhudi.Gani kujiletea maendelao?anataka kuolewa ili awe golikipa
 
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 mwenye hofu na mungu, ni mrefu wa wastani, maji ya kunde na mwajiriwa.
nafuta mwanaume age 28-40 mkristu anayependa dini na anaye jua nn maana ya mke na anaye jituma ktk kuleta maendeleo
ambaye yko tyr ani pm basi

Ni PM tuongee
 
mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 28 mwenye hofu na mungu, ni mrefu wa wastani, maji ya kunde na mwajiriwa.
Nafuta mwanaume age 28-40 mkristu anayepe nda dini na anaye jua nn maana ya mke na anaye jituma ktk kuleta maendeleo
ambaye yko tyr ani pm basi

duh mwenyewe nlikuwa natafuta tafadhali fanya kuni inbox tuongee andika umepata mume bora
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom