Natafuta mume wa kunioa awe Muislam

Sio kweli haupo makini kwa hili naona upo kiutani zaidi kwani Mume na mke bora hapatikani kwenye if fb yahoo na twitter.Zunguka tembea ipo siku utakutana uso kwa uso na unaemtafuta,na Inshallah kwa uwezo wa Allah huyo ndio atakuwa mume bora,
 
Naamini kwamba watu waweza kutana popote wakapendana na hata kuoana. Thank u though
 
Sio kweli haupo makini kwa hili naona upo kiutani zaidi kwani Mume na mke bora hapatikani kwenye if fb yahoo na twitter.Zunguka tembea ipo siku utakutana uso kwa uso na unaemtafuta,na Inshallah kwa uwezo wa Allah huyo ndio atakuwa mume bora,

Acha imani mbovu juu ya hili wapo waliopata wake waume wema kupitia social nets so ucmkatishe tamaa
 
Dont give up Allah atasaidia utampata tu hw wanaoleta maneno mbovu ucwamind achana nao
 
Dada utapata wa kukuoa haijalishi ni wapi but hakika utapata. Naweza kukupa stori ya maisha yangu, It is so powerful and inspiring indeed. Ukitaka unaweza nitafuta kwa email yangu tarakilishi@hotmail.com. Mi nimeshaoa but i can share with you my experience. I married a woman who is older than me for 8 years!
 
U'positive unakutisha vp mkuu? It's just a name na kiukweli huwa sipanick in whatever situation, naamini ku'deal na issue zote kwa utulivu and mostly nipo na positive mind when comes to dealing wth any situation

I like your determination, wish you all the best in fulfilling ur dream.
 
Nami tataizo lng ni kama lako.nimeabdika thead few minutes natumai.tutawiana Inshallahhh
 
Mimi nina wake watatu uko tayari kuwa nne?
 
Sifa ulizozitaja zote nnazo tatizo ni moja tu siko tayari kuoa...maybe uniconvince ni pm kisha nishawishi nikikubali Ntakuoa.
 
Fuatilia hii link mama

https://www.jamiiforums.com/love-co...anaejifaham-yy-ni-nan-ktk-maisha-ya-sasa.html
 
Dadaa!nimeiona hii post yako,ukwel kabisa mimi pia nna shida saana mke..ila tatz humu jf wengi wanaleta saana wanatufanya wote tuonekane km atupo siriaz.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…