KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,771
- 39,538
Kwani kakwambia anataka kusaidiwa kulea mwanae???? Na Kama baba mtoto kafa akamfufue???? Uwe unafikiria kabla hujaropoka hauko interested pita kimya kimya sio lazima uharishe.
Msamehe bure...si unajua weekend hii watu wanapost wakiwa maeneo tofauti tofauti..