mutant gene
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 876
- 326
ka we ni mkristo si uwasiliane na kasisi au wachungaji wa Mungu watakusaidia kwa ilo dada.....
we unamtafutia matatizo kwa huu ushauri wako! aende kwa mchungaji? akamle papuchi yake bure, halafu siku inayofuata mnamtoa kwenye magazeti ya shigongo!! acha hizo wewe!! dada zejame hebu ni pm dada yangu nikupe mume mwenye sifa unazozitaka.