Menopause tayari hapo,Sina mtoto. I am btn 30 and 35
Nahitaji mume mwenye uhitaji wa mwanamke. Awe mkristu mcha Mungu, awe mchapa kaza(kazi halali). Awe tayari kupima UKIMWI, awe tayari kuwa baba wa familiaa.
Pm ni kwa mwenye uhitaji tu!
Endelea kungoja... Utangoja sana
Menopause tayari hapo,
Nahitaji mume mwenye uhitaji wa mwanamke. Awe mkristu mcha Mungu, awe mchapa kaza(kazi halali). Awe tayari kupima UKIMWI, awe tayari kuwa baba wa familiaa.
Pm ni kwa mwenye uhitaji tu!
Una nini na nini?
Ana nini na nini vya nini wew???????
Unataka uolewe??? acheni kashfaa mtu yupo serious
Kweli dunia imebemendwa, mwanaume unaulizia vi2 vya mwanamke, pyuuuuuuuuuuuuu.
Kweli jamani!!!
Mmmmh vibibi vya jf jamani vikali. sexologist uko wapi ndugu yungu.
Weka ma wewe umri wako.