Deborah9007
Member
- Dec 11, 2022
- 14
- 47
Ona sasa u black mamba wangu unanikosesha halfcaste hivihivi🥲Habari zenu.
Mimi ni Mschana, umri 30 years, Sina Mtoto. Mimi ni Halfcaste wa kiarabu, sio mweusi wala sio mweupe sn, natafuta mume ambae ni mixed race na mwenye Hofu ya Mungu. Umri wa mwanaume miaka 30-45.
Nipo serious.![]()
Ona sasa u black mamba wangu unanikosesha halfcaste hivihivi🥲

Km upo serious nicheki mm ni halfcast wa kitz na brazilHabari zenu.