Natafuta mume miaka 54-58


Huo umri unaoutaka huna lolote unatafuta mafao, Ngoja kuna jirani yangu hapa niongee nae anataka kustaafu kama vipi akubebe jumla.
 

Teeeh ama kweli mjini mipango,
 
Sasa sisi wenye sifa hizo tutawasiliana nawe vipi na umesema hutaki pm?
 
Humu duniani kuna v2ko,umri huo ili achape kimoja analala then ufaidi urithi kwanin usitafute kijana mdogo umtunze wewe !
 

Unahisi ka-pension kapo karibu!!!????
 
Mwanangu wa mwisho yuko chuo mwaka wa pili ...usiogope mekuuu...by the way sijaja kuomba msaada wa kusomeshewa ...

Una miaka 32.
Una watoto wawili.
Mwanao wa mwisho sasa yupo 'chuo' mwaka wa pili. Apa najaribu kukuna kichwa nijue huyo mwanao wa 'kwanza' ulimzaa ukiwa na umri gani?? Otherwise 'ukicheche' ulianza since under-age! Sasa unatafuta 'mzee' wa miaka 58 (nearly towards his retirement age) ataeweza kuvumilia tabia zako maana wazee wengi ni 'ndiyo ndiyo'
 
mimi nina miaka 17 ila najiweza nipo k.k security ndio magari yao hua yananifuata vipi utapenda,
 
:screwy:.mia
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1372927376930.jpg
    21.1 KB · Views: 38

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…