Natafuta mume jamani mbona sipati

Nenda kwa mungu mama. Kama ni mkristu au mwislamu simamia misingi ya imani yako. Omba mungu sana maana yeye anajua hitaji lako.Pengine unaishi maisha ya kuigiza. Akili za wanaume huwa tunasifia ujinga lakini ikifika wakati wa kuoa huwa tunakuwa na akili za tofauti tunayoyasema.
 
Huo umri ntafikisha taratibu. Ni pm
 
Natamani nikuone ulivyovutia hisia hii kauli yako
Hivi nyie wanaume ambao kila uzi wa anayetafuta mume/mchumba mpo huwa 'hamfanikiwi?'
Miaka nenda rudi...
 
Awe mweupe au maji ya kunde
mrefu
alie ajiriwa au mfanya biashara
umri 30 kuendelea
awe mcha mungu mkristu
Mkuu njoo stendi huku wako kibao!!
Onyo..mimi nipo stendi lakini mi ni padre!!
 
Awe mweupe au maji ya kunde
mrefu
alie ajiriwa au mfanya biashara
umri 30 kuendelea
awe mcha mungu mkristu
Unakosea kutafuta aliyejiajiri au mfanya biashara. Inaonekana unatafuta uchakavu a.k.a fwedha
 
wengi wanao kuja humu kwa kukuruluka wanaith jf imejaa wakurugenz na makatibu tu

ivyo wanaona ni raisi kuwapata jambo ambalo si la kweri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…