Tate Shebughe
JF-Expert Member
- Jan 4, 2016
- 324
- 265
Kila la kheri! nimependa ujasiri wako wa kumpenda mtoto wa mwanamke mwenzio kama wa kwako maana huu ni mtihani mgumu sana kwa wanawake wengi.
Sijafurahishwa pia na maandishi ya kejeli ya baadhi ya watu kwa kusahau kwa makusudi kabisa ya kuwa ''hujafa hujaumbika'' Maneno kama ''mgumba'' si maneno mazuri. Watu waliokosa watoto kwa sababu mbalimbali wanahitaji faraja, upendo, kutiwa moyo,nk. na sio kuwakejeli na kuwatukana.