Natafuta mume ila awe na mtoto

Natafuta mume ila awe na mtoto

Yaani awe na mtoto lakini asiwe na mke? au unatafuta mume mgane? au mzinzi mwenye mtoto bila mke? Which is which?
Awe hajaoa,,naamini wapo wenye watoto na siyo wazinzi mana
Ni kwa sababu umejigundua wewe huna uwezo wa kuzaa wa kwako au?ni ngumu mwanamke kutunza kwa moyo wa dhati mtoto asiyemzaa ..kulikoni???na huyo mume mwenye mtoto tuseme ndio mshaoana ndani ya miaka miwili akikuletea mtoto wa miezi sita utamfanyaje???
Uwezo wa kuzaa ninao hata watoto kumi...
 
why mtoto? ili uwe na uhakika na ubora wa machine
 
Mimi ninamtoto, mkristo nipo pwani kama umeridhika jiachie tuma no yako
 
Ni masharti ya mganga au ni nn!!!!? NIWE NA MTOTO#&$@$_#!! Sasa mtoto hawi wa mtu mmoja mama, ni wa kwangu na mamake mtoto. Sasa ntakupaje awe kama wa kwako!? Hujasahau sharti lingine kwamba no lazima awe Albino?
 
Miaka 28? wewe endelea kutafuta, siku hizi wanaolewa wabichiwabichi nyie vikongwe endeleeni kutafuta.
 
Nina watoto sita na wajukuu watatu kama vipi weka namba tuwasiliane
 
Asipokuwa na mtoto Kuna shida gani???? Unahisi hatampenda mwanao???

Mkipata muwe mnatuletea mirejesho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom