zendindi
Member
- Aug 11, 2016
- 29
- 23
Mimi ni mdada, miaka 30 nashukuru Mungu nimeajiriwa serikalini, si mrefu simfupi maji ya kunde . Nina tatizo la uzazi
Natafuta mume mwenye sifa zifwatazo.
_tatizo. La uzazi,
_Umri 30 _40
_Mwajiriwa au mjasiriamali, mkristo, tayari kwa ndoa na kupima VVU .
Kwa maelezo zaidi PM
Natafuta mume mwenye sifa zifwatazo.
_tatizo. La uzazi,
_Umri 30 _40
_Mwajiriwa au mjasiriamali, mkristo, tayari kwa ndoa na kupima VVU .
Kwa maelezo zaidi PM
