Mimi ni fundi simu mwenye uwezo mkubwa katika kazi hii ila sina ofisi maalumu so ninatafuta mtu mwenye ofisi iliyo rasmi niweze kujiunga nae katika gharama lakini pia tutagawana hata faida.Kwa alietayari anitafute kwa 0763969066.....au niachie namba yako hapa nikutafute mm. Hata kama unafanya shughuli nyngn kabisa ili mradi una ofisi hicho ndo niachojali