Sentensi ya mwisho nimeielewa🥂🥂😘Relax mkuu, ndio kwanza mmevuka ubungo mataa unataka kufaulisha abiria!.
Hivi yule msanii aliyeimba hilooo ni chaguo lako alikuwa anawaza nini?
Kwani mkuu huko unapokaa, kufanya kazi huwezi pata mchepuko?
Ukipata muda peleka zawadi na samahani kwa babaako, maana ulivyokuwa mdogo, ulikuwa unaimba nani kama mama na kumuona mzee anazingua. Now it's your turn, relax
🍾🍾😋Sentensi ya mwisho nimeielewa🥂🥂😘
Mwanamke mmoja anakupasua hivo?
Je ukiwa nao wawili itakuwaje?
By the way huko unapotaka kwenda utakutana na kero kubwa kubwa tu.
EwaaaaaahInshort unataka kamchepukooo ?
Uliskia wapiii? Ulisikia wapiiii?
😂😂😂😂😂😂 we uliskia wapi?Hahaa mkuuu... kwahiyo ushachukua form?? Yako moja tuu
😋😋😋
Aliniambia nimsaidie kutafuta tafuta maana umri ushamtupa mkono[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] we uliskia wapi?
Mm ni kijana mwenye umri wa 31 years old nipo kwenye ndoa huu ni mwaka wa pili nauanza but nimegunduaa Ndoa inachangamoto nyingi sana.
Inshort nimekua ni mtu wa stress muda mwingi sana maana mm sio muongeaji sana so nahisi naumiaaa kimoyomoyo.(kero ndogondogo kutoka kwa wife) .
Hivyo basi nahitaji mdada yeyote anayeweza kunitoa ktk stress nilizonazo.(urafiki) Maana nahisi naweza kuumia bure
Heee mi sinipoAliniambia nimsaidie kutafuta tafuta maana umri ushamtupa mkono
KIla ugonjwa unakuwa mkubwa pale unapoumwa ugonjwa huo.. Na kila mgonjwa unakuwa mdogo kama huumwi ugonjwa huo...Ndoa Sasa Naona Ndiyo Ugonjwa Mbaya Sana Kuliko Maradhi Mengine, Kila Kukicha Afadhali Ya Jana