Una maana 9m ni kila kitu na gharama zako za ufundi? Yaani material na labour. Chumba ensuite, choo kingine,sebule,jiko?mimi ningekufanyia kwa milioni 9.
ingekuwa hatuchimbi na kujenga shimo la choo, jiko hatujengi, na choo kimoja tu cha master. hiyo hela ingetosha ...
hapo nimefanya assumptions kiwanja chako kimenyooka sio cha mtelemko.... na
Una maana 9m ni kila kitu na gharama zako za ufundi? Yaani material na labour. Chumba ensuite, choo kingine,sebule,jiko?
Kimenyooka sio mteremko pia kipo karibu na barabaramimi ningekufanyia kwa milioni 9.
ingekuwa hatuchimbi na kujenga shimo la choo, jiko hatujengi, na choo kimoja tu cha master. hiyo hela ingetosha ...
hapo nimefanya assumptions kiwanja chako kimenyooka sio cha mtelemko.... na
Ya udongo hiyo hela inatosha
Habarini .....
Natafuta wale watu wa makampuni ya ujenzi wanijengee nyumba yenye sifa zifuatavyo kwa budget ya Tsh 7M.
Chumba na choo chake (Master)
Sebule (Living room)
Public toilet
Kitchen( jiko)
Eneo ni Bagamoyo kata ya Zinga jirani sana na barabara ya bagamoyo.
Atalipwa nusu baada ya kumaliza kazi atamaliziwa nusu.
Karibuni sana.
NB: nataka kuoa sasa maisha ya kulipa kodi wallah sitoyaweza kabisa.