Natafuta mtu wa kunifadhili masomo yangu

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 23.

Shikamooni wa kubwa rikaa yangu habari zenu natumain wote ni wazima na mnaendelea vyema na jukumu la kulijenga taifa letu lenye kubarikiwa na Mungu TANZANIA

Kama nilivyoeleza hapo juu ndugu zangu nimeona nililete hili kwenu kwa yeyote ataeguswa naomba anisaidie nimekwama kuendelea na masomo kwasabu ya kiuchumi mimi nilikuwa nasoma fani ya Clinical Medicine nimemaliza mwaka wa kwanza lakini niliacha kuendelea na masomo kwa sababu ya pesa.

Pia chuo nilichosoma ni cha private aliyekuwa anajichanga changa ili nisome kwa sasa hana pesa ni kwamba ameporomoka kiuchumi na nina mpango wa kutafuta chuo cha Government mwaka wa kwanza pamoja na kusoma kwa shida sana nilijitahidi nisipate sup, repeat module wala disco ili niendelee kumconvice mfadhili wangu aendelee kunilipia. Mungu alinisaidia nikapata GPA ya 3.0

Asanteni na Mungu awabariki
Tafuta taasisi inaitwa help to help hope watakusaidia
 
wasiliana na Hselb au bibi mkubwa anampango wa kujenga sanamu ya jiwe pale sabsaba akumegee kafungu
 
Back
Top Bottom