Natafuta mtu wa kuniandikia research

Natafuta mtu wa kuniandikia research

miss username

Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
78
Reaction score
32
Plz anyone out there capable of writing a philosophical research paper plz help, willing to pay any amount, (the title is yet available)
 
Nenda pale Mawasiliano Towers ulizia au Ardhi University kama unaishi Dar.
Angalizo: Kuna Dada nilisoma nae akaenda huko akaishia kupata B plain mie niliyekomaaa mwenyewe nikapata B plus.
Funzo; Jifunze kujiamini
 
Plz anyone out there capable of writing a philosophical research paper plz help, willing to pay any amount, (the title is yet available)

Check na jamaa mmoja yuko Uenezi CCM naskia aliandikiwa ya Kwake pale Mzumbe, anaweza kuku_connect...

No wonder elimu yetu inaonekana ya hovyo, jitu linaibuka hadaharani na kutaka mtu wa kumuandikia research bila aibu kisa tu awe na cheti lakini utendaji wa kazi ni sifuri. Made in Tanzania
 
Plz anyone out there capable of writing a philosophical research paper plz help, willing to pay any amount, (the title is yet available)

Acheni kudhalilisha Elimu na Vyuo mnavyosomea.

Maana ya kusoma nini sasa kama unataka utengenezewe Mawazo na kuandikiwi. Jamani kunatofauti kati ya research ya miradi na ya kielimu.

Mnaharibu mfumo wa Elimu ndiyo maana unasikia degree za mezani na chupi.Watu wanaosema hayo wanakuwa wamekumbana na watu kama hao maofisini wakiwa watupu kichwani (fikra/ujuzi) na wahusika hao wakijiita wasomi kumbe usomi wenyewe wa kununua mawazo ya watu na hata uwezo wa kuzifanyia kazi mawazo hayo hawana.
 
are you serious, you mean you cant do it yourself? learn to use your brain it is possible
Plz anyone out there capable of writing a philosophical research paper plz help, willing to pay any amount, (the title is yet available)
 
jitume ukishindwa sana ni pm sio kukuandikia ila kukupa knowledge zaidi then i hope you will be capable to do it yourself,kwa sababu hata wahadhiri wengi siku hizi wamekuwa wachwara hata udsm.
 
hahaha matatizo ya kusoma vyuo vya pembezoni...criazly uandikiwe research wakt to us z the most interstng thng kufanya na kuandka.
 
Unataka wa kukuandikia research ama kukufojia? Manake research haiandikwi bali inafanywa.
 
Style za kina Lukuvi kupata shahada zimetamalaki TZ.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Acha ujinga wewe ebu kasome huku uandike research. Au ulalamike kwa Kawambwa ili afanye standardization za marks kama yale ya kidato cha nne 2012. taka sana vyeti vya dezo.
 
achana nao bhana, mind ur business, kama unataka msaada contact me zedymgina@gmai.com but, i wll do it for free. Lakn siko nchini, niko abroad kimasomo for now, tutawasiliana kwa mails kama utakuwa comfortable kwa hilo. Regards.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom