Lost Purpose
Member
- Jun 16, 2022
- 26
- 18
Habari wana JF,
Mimi ni kijana wa miaka 27 nilikua najishikiza katika Shirika flani ila baada ya mkataba kuisha nikawa Jobless. Kazi zimekua ngumu sana kupata hususani sisi ambao hatuna connection bali tuna create channels wenyewe.
Hivyo in this idle time ningependa mtu wakujitolea kunifundisha driving a manual car, siwezi afford hata lipia mafuta kwa hali nilionayo! Kusema kweli am a quick learner & disciplined na pia nina moyo wakujifunza. Ikitokea pia opportunity nyingine ya kazi pia I won’t hesitate coming on board ili nipate hata pesa ya kujikimu.
QUALIFICATION: Diploma in Both Information Technology not forgetting International Tourism & Wildlife Management . (Currently Located in Bukoba, Tanzania).
Nawasilisha