Natafuta mtu wa kufanya nae biashara.

Natafuta mtu wa kufanya nae biashara.

halafu lazima utangaze ili uingie kwenye competition so as the more the chalenge the better the software you develop

Nimeshafanya project nyingi kubwa kubwa nilikokuwa nimeajiliwa. Nilikuwa nafanya Exact sofware mpaka 2010 nimeamua nijiajili. Nimezitengeneza software hizi zaidi ya miaka 3
 
how about 3D ANIMATION?
 
wee mie nataka software ya kucreate animation za mchezo mpira live kwa ajili ya ligi kuu kuwezesha fanya real time match analysis.
 
Tutafutane privately
 
Software inaitwa BMP (Business Management Premier)
Main.png
 
HAPA POS Touch Sreen
POS.png
 
Sasa kuoa na biashara ya software zimehusianaje?
 
Tunataka kuwakalishe wakenya
 
Mkuu, naomba unisaidie kunielewesha yafuatayo. unatafuta mtu wa kufanya nae biashara kivipi?

1. unatafuta mtu mwenye ujuzi kama wako ili mfanye pamoja hizo software na kutafuta soko? au wewe tayari una ofisi hivyo yeye ni kutafuta soko? au
2. Unatafuta mtu wa kufanya nae biashara nyingine tofauti na hiyo ya soft ware?

Mimi nina mtaji kidogo sana kama milioni 5 natafuta mtu wa kuungana nae kufanya biashara yoyote tutakayo panga ila kwa maelezo yako apo juu sijayaelewa na pia sina ujuzi kabisa ya mambo ya IT
 
Mimi niko na campuni yangu. Natafuta serious people ili waweze kuingiza software hizi masokoni. Na software zinakubarika ndani na nje ya nchi.
 
Am the right person your looking for, currently niko kwenye attachment kwa kampuni inayoitwa craft silicon, the biggest software development solution for banks and MFIs in subsaharan africa, google it for more info, software zake zina operate mkombozi,dcb just to mention a few, please ni pm na tuonge biashara asap
 
unaweza kutengeza animation za ndumilakuwili na lodi lofa?
 
Back
Top Bottom