Natafuta mtu wa kuchat naye

leo hii tunaringa............haya kumbuka marejeo ni ngamani!!! mtarudi tuu!!!
 
leo hii tunaringa............haya kumbuka marejeo ni ngamani!!! mtarudi tuu!!!

babe wangu Paloma sijui ni nani aliingia kwenye akaunti yangu hii na kuandika haya maneno.. Nina shaka na Bujibuji anataka kunifanyia fitina.. Hiyo comment sijaandika mie..
 
Last edited by a moderator:
babe wangu Paloma sijui ni nani aliingia kwenye akaunti yangu hii na kuandika haya maneno.. Nina shaka na Bujibuji anataka kunifanyia fitina.. Hiyo comment sijaandika mie..

say whaaaaaaaat!!!!!!!!!!
jipange!!! this time povu liwe la sabuni ya uhakika!!!
 
Bado hujatupata. JF hapa kuna TISS na UBR wanatafuta watu. njoo kivingine. au tuwekee kadi yako ya mpiga kura humu tuifanyie kazi.

shauri yako, jana nlikuwa busy nachat na watu. Sikupata hata muda wa kurudi hapa chit chat!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…