Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,160
Hahaha...mi natafuta mtu wa kumpa makavu live, upo tayari?
Who are you to do what you are claiming to?? you are nothing but just a &&***** shit
Hahaha...mi natafuta mtu wa kumpa makavu live, upo tayari?
umemuona ehee ......aje tuchati hapa*2tapeli huyu asitutanie|;
Join Date : 17th March 2013
Posts : 7
Rep Power : 302
Likes Received 0
Likes Given 0
Who are you to do what you are claiming to?? you are nothing but just a &&***** shit
Best hebu jongea PM tuchat....topic itakuwa Kilimo kwanza.
Umekaribisha matongozo sasa..
Aiseee watu8 umedondoshewa zigo la hasira.. Kama ni zako au umekuwa on da wrong end ya huyu dada still nakupa pole.. Labda atajibu kwanini ameamua kukushukia kama mwewe..
Who are you to do what you are claiming to?? you are nothing but just a &&***** shit
We bi dada bado nakuuliza kwa nini umeamua kunitusi???
mnatakana nyieWe bi dada bado nakuuliza kwa nini umeamua kunitusi???
Kuna tusi hapo? unasema nina stress; hayo ni mawazo yako tu na si lazima yawe sahihi. Kiufupi mpaka nimekujibu hivyo nimekuona sio mara yako ya kwanza kujitia ujuwaji humu, sijafurahiwa na tabia yako ya kila siku kujifanya wewe ndio jogoo humu JF wakati wewe ni binadamu tu tena mkosaji na wa kawaida kama wengine. Kujifanya wewe ndio mtoa makavu live is nothing but kujikweza kusiko na maana. Ukielewa usipoelewa ni juu yako lakini ukweli nimekwambia. Usitegemee jibu lingine toka kwango. byee