Natafuta mtu wa kuchat naye

Natafuta mtu wa kuchat naye

Ha ha ha.. Kila ciku mnajifanya kutafuta mademu wapya kisa hawa wa humu hawalipi.. Leo amejitokeza kitu kipya kabisa ambacho bado kiko kwenye manailoni.. mnaanza kugwaya..
saudari kuja pande hii.. Najua wewe huwezi kuniangusha.. Ipo kitu mpya hapa.. Achana na hawa akina Paloma.. Wanaringa sana..


leo hii tunaringa............haya kumbuka marejeo ni ngamani!!! mtarudi tuu!!!
 
leo hii tunaringa............haya kumbuka marejeo ni ngamani!!! mtarudi tuu!!!

babe wangu Paloma sijui ni nani aliingia kwenye akaunti yangu hii na kuandika haya maneno.. Nina shaka na Bujibuji anataka kunifanyia fitina.. Hiyo comment sijaandika mie..
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom