Natafuta mtu(Personal Secretary) aliyeajiriwa na Utumishi wa kubadilishana kituo cha kazi

Fruit

Senior Member
Jan 1, 2013
193
54
Habari wapendwa,

Mimi ni Personal Secretary nimeajiriwa na utumishi nafanyia kazi Mbeya mjini, lakini mume wangu anaishi na kufanya kazi Dar.

Natafuta mtu wa kubadilishana naye yeye atoke Dar aje Mbeya na awe ameajiriwa na utumishi, kwa aliyetayari naomba aje inbox
 
Mkuu Hili Taarifa Ya Yako Hujaikamilisha Vema!!
Unaposema Utumishi Una Maana Gani?
Punguza Maswali Kwenye Bandiko Lako
Utumishi Kwa Haraka Kila Mwajiriwa Wa Serikali Ni Mtumishi Halafu Utumishi Watu Wanaweza Kufikiria
Wizara Ya Utumishi Ama Utumishi Wa Mahakama


Eleza Wewe Ni Mtumishi Wa Umma
Kwenye Ofisi...... Iliyopo Mbeya Kwa Mkuu Wa Mkoa
Mkuu Wa Wilaya,Mahakama Ya Rufaa
Shirika La Umma Ulitaje Jina
Ni Mwalimu

Ndiyo Unaomba Atakayependa Kuja Mbeya Sasa Anaelewa
 
Huyu Kupata Msaada Ni Kazi Sana Maana Hawa Ndiyo Rais Anawatafuta!!!-
 
Huyu Kupata Msaada Ni Kazi Sana Maana Hawa Ndiyo Rais Anawatafuta!!!-
inaelekea hujanielewa kabisa lakini mimi naona nimeeleweka kwa kusema aliye tayari aje inbox ndiko tutapeana full details. sasa nimepata ma PS 4 inbox na mchakato itaanza next week
 
Njoo Njombe Mji nije
Kisarawe
Chalinze
Temeke
Ilala
Kigamboni
Kinondoni
Kibiti
Bagamoyo
Rufiji
Au morogoro MC
Contact 0759007829
Idara SEC
 
Habari wapendwa, mimi ni Personal Secretary nimeajiriwa na utumishi nafanyia kazi Mbeya mjini, lakini mume wangu anaishi na kufanya kazi Dar. Natafuta mtu wa kubadilishana naye yeye atoke Dar aje mbeya na awe ameajiriwa na utumishi, kwa aliyetayari naomba aje inbox
huyu alipata mtu wa kwenda mbeya? me nipo dar antakanihame
 
inaelekea hujanielewa kabisa lakini mimi naona nimeeleweka kwa kusema aliye tayari aje inbox ndiko tutapeana full details. sasa nimepata ma PS 4 inbox na mchakato itaanza next week
PS anaye hitaji kuhamia Dar Halmashauri anitafute mku
 
Back
Top Bottom