Natafuta mtu mwenye uwezo wa kutengeneza 3D animation cartoon

nameless girl

JF-Expert Member
Apr 22, 2012
4,195
2,663
Habari za asubuhi wana jf?
Ninahitaji mtu mwenye uwezo wa kutengeneza 3D animation cartoon ili tushirikiane nae kuandaa kazi fulani.
Mwenye interest naomba tuwasiliane kwa namba 0712504985.
Ahsanteni.
 
Habari za asubuhi wana jf?
Ninahitaji mtu mwenye uwezo wa kutengeneza 3D animation cartoon ili tushirikiane nae kuandaa kazi fulani.
Mwenye interest naomba tuwasiliane kwa namba 0712504985.
Ahsanteni.
Mkuu jaribu kupost na kule kwenye jukwaa la Tech huku huenda wengi hawajaona
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom