Natafuta mtu ili tufanye harakati za kimaisha, awe mkazi wa Njombe

tinno criss

Senior Member
Jul 3, 2015
112
56
Natafuta Mtu Ili Tunzishe Kuchezesha Mchezo (Upatu) Yaani Tuwe Na Mtaji, Kisha Tuwe Kisheria, Yaani Tuwe Na Kibari Cha T.R.A, Ilituwe Huru Na Uhakika Kwa Wateja Wetu,

Mimi Nipo Njombe, Kwahiyo Natafuta Mtu Ilitusaidiane Hizi Harakati,

Yaani Tutajitangaza Redioni Pia Tufungue Na Ofisi Kabisa Ya Kuchezesha Upatu, Natafuta Mtu Ili Tuanze Mishe,


Mawasiliano 0625844563
 
kwa maisha haya, hata wanawake nao hawaliwi kirahisi rahisi..
 
Back
Top Bottom