Kazitunayo JF-Expert Member Joined Mar 30, 2013 Posts 3,784 Reaction score 3,209 Dec 31, 2013 #1 Natanguliza salam zang kwenu wana JF..nataka mtoto mbichi haswa niende nae Dubai nikale nae bata nimepata vijisent vyangu vya miradhi natafuta mtu wa kwenda kuvilamba nae anaeitaji ani PM tu ni baada ya mwaka mpya tunaanza safari
Natanguliza salam zang kwenu wana JF..nataka mtoto mbichi haswa niende nae Dubai nikale nae bata nimepata vijisent vyangu vya miradhi natafuta mtu wa kwenda kuvilamba nae anaeitaji ani PM tu ni baada ya mwaka mpya tunaanza safari
Sangarara JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 13,104 Reaction score 5,665 Dec 31, 2013 #2 Huma hamna watoto lakini.
KingRay JF-Expert Member Joined May 5, 2013 Posts 516 Reaction score 291 Dec 31, 2013 #3 Watakuja....safar njema
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,233 Reaction score 26,753 Dec 31, 2013 #4 Mtoto mbichi niko hapa......we sema hivo vijisent ni sh ngapi Sharti:Tunamalizana hapa hapa hamna mambo ya kuja PM
Mtoto mbichi niko hapa......we sema hivo vijisent ni sh ngapi Sharti:Tunamalizana hapa hapa hamna mambo ya kuja PM
Honey Faith JF-Expert Member Joined Aug 21, 2013 Posts 15,782 Reaction score 11,838 Dec 31, 2013 #5 mtt mbishi yani hakupikwa akaiva ama?
Ladymasa JF-Expert Member Joined Oct 2, 2013 Posts 877 Reaction score 335 Dec 31, 2013 #6 Wewe ni umeiva au! ni kwanini wataka mtoto mm`bichi?
Chocs JF-Expert Member Joined Aug 21, 2012 Posts 8,447 Reaction score 4,841 Dec 31, 2013 #7 Mtoto m'bichi anahitajika!
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 54,692 Reaction score 127,521 Dec 31, 2013 #8 Mimi ni dalali wa watoto wabichi.... Lete dau nikuletee kifaa kibichiii..
A allydou JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 1,603 Reaction score 1,065 Dec 31, 2013 #10 Keshapatikana hapo juu. Ni H.O.E. Tambaa nae kiubichiubichi.
B BOSCO OJA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2011 Posts 342 Reaction score 229 Dec 31, 2013 #11 dah! Mbichiiiiiiiiiiii! Utaenjoy sana! Kila kheri mwaka mupya, kwako uwe kiubichiubichi!
Deshmo JF-Expert Member Joined Dec 20, 2012 Posts 4,820 Reaction score 4,264 Dec 31, 2013 #12 Kazi mnayo
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,580 Reaction score 18,952 Dec 31, 2013 #13 mbichi tena ....
St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,994 Reaction score 5,233 Dec 31, 2013 #14 mh wanaume Kazitunayo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Dec 31, 2013 #15 Mbichi kabisa au?
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,849 Dec 31, 2013 #16 Bahati nimeikosa,mi nimewivaaa....
John mungo JF-Expert Member Joined Dec 8, 2013 Posts 1,008 Reaction score 1,029 Jan 1, 2014 #17 Wote wakavu. labda wewe ushanunuliwa?. Hapana tabu hata ukiwa mtekemteke swadakta surat mantashafruuuun!!!!
Wote wakavu. labda wewe ushanunuliwa?. Hapana tabu hata ukiwa mtekemteke swadakta surat mantashafruuuun!!!!
lyinga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 2,494 Reaction score 1,057 Jan 1, 2014 #18 Ama kweli macho yanaona na moyo unatamani tembea uone.
tinna cute JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 4,630 Reaction score 2,315 Jan 1, 2014 #19 Najuta kuiva mapema, opportunity zinanipita mie.
mwallu JF-Expert Member Joined Sep 5, 2013 Posts 6,787 Reaction score 4,216 Jan 2, 2014 #20 watoto walozaliwa kabla ya mda wao ama?