Natafuta mtoa dawa

Mwana Mwema

Senior Member
Nov 15, 2012
143
127
Habarini wana jamvi.. nipo Tanga mjini maeneo ya Donge, nataka nifungue duka la dawa muhimu ila bado sijapata mtoa dawa hivyo nahitaji mtoa dawa aliyekuw na cheti, swala la mshahara tutaelewana ila naamini hatutashindwan, ukiguswa na msg hii namba ni PM namba ili tuwasiliane. Thanks!!
 
Back
Top Bottom