Natafuta mteja wa matikiti maji ninayo shambani

Natafuta mteja wa matikiti maji ninayo shambani

pcm boy

Member
Joined
Aug 6, 2013
Posts
39
Reaction score
3
Habari zenu, nina matikiti shambani natarajia kuyatoa wiki mbili zijazo yatakuwa tayari, nipo dar mbagala zakhem ndo ninapoishi. Hivyo mwenye kuhitaji kuhitaji kuyanunu shambani kwa bei ya jumla tuwasiliane kwa 0657550354/0746019259
 
NI VYEMA UENDE BUGURUNI SOKONI PALE WAKO MADALALI WATAYANUNUA ILA KUWA MAKINI WASIJE KUKULALIA WAKATAKA WANUNUE KWA BEI CHEEE
 
Back
Top Bottom