Natafuta mtaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta mtaji

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by EPORA, Oct 8, 2012.

 1. E

  EPORA Member

  #1
  Oct 8, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Heshima mbele wakuu,
  Baada ya kuhangaika kutafuta kazi bila mafanikio yoyote,nimeona nitafute mtaji,naomba mdau yeyote anaweza kunisaidia mtaji wa fedha za kitanzania milioni 3,anisaidie
  Binafsi nataka nifanye biashara ya vyakula vya nafaka,naomba wenye nia wanisaidie,
  MUNGU AWABARIKI.nawasilisha
   
 2. k

  kabye JF-Expert Member

  #2
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 355
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pouwa,
  1. we unshilingi ngapi(chanzo chako).
  2. ushawahi kufanya iyo biashara au wataka kufanya try?
  3. ushafanya "market search" ya maitaji ya iyo biashara yako?
  4. etc. itakusaaidia sana
  Note; advice you; jaribu kuvifanyia kazi iyvo. kabla ujapewa uo mkopo...
   
 3. k

  kabye JF-Expert Member

  #3
  Oct 8, 2012
  Joined: Nov 4, 2011
  Messages: 355
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ata ukienda bank watakuambia uwape mchanganuwa wako(biashara yako)
   
Loading...