Natafuta mtaalamu wa kutumia Cat Tools

satong

JF-Expert Member
Sep 18, 2016
260
311
Habari wana JF,

Naomba anaejua kutumia hizi mashine transilation km SDL Trados 2021 au Memosource aje DM tuongee.

Ahsante sana.
 
Ungewema nyama wengine cat tools ni vifaa vya ujenzi na hizo no pia ni model za vifaa
 
Ukisoma vzr hapo mkuu nimeeleza mashine translation (vifaa),sasa sidhani km vifaa cha ujenz vinaweza kufanya translation
Ungewema nyama wengine cat tools ni vifaa vya ujenzi na hizo no pia ni model za vifaa
 
Back
Top Bottom