Natafuta mtaalamu wa car navigation system ya Tanzania

Ubumuntu

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
14,316
10,782
Salaam,

Nina shida ya kuweka navigation system ya Tanzania kwenye gari iliyokuwa na navigation system ya Ulaya.

Kama kuna mtaalamu humu ama mtu anayemfahamu mtaalamu, anisaidie.

Wasalaam,
 
Easiest solution ni kununua android radio
Ama radio yoyote inayo support mirroring.
Hii ya mirroring, uki unganisha na smart phone ina display screen ya simu kwenye screen ya radio.
 
Asante kwa ushauri. Ingawa sina upenzi wa kubadili physical appearance ya car interior.
 
Back
Top Bottom