Mkushi Mbishi
JF-Expert Member
- Sep 30, 2018
- 318
- 513
habar ndugu zangu
natafuta mtaalam nitakayemlipa kama tutakavokubaliana ili anirudishie email yangu ya gmail ambayo nimesahau pasward zake..namba nilizoweka kwenye email ni mbili lkn nikibonyeza forgot pasward wanatuma code nikiingiza code,wanataka kutuma tena kwenye namba yapili.
kibaya zaidi namba ya pili haipo hewani ilipotea kitambo.
yupo anayeweza hili ani pm
shukrani.