Natafuta mtaalam wa kung fu

Natafuta mtaalam wa kung fu

Utaweza mazoezi....jide alikuja kuuza sura na katusaidia kitutangaza chuo chetu. Ila bado sana maana yuko bize na anaogopa mazoezi magumu

kwani Mazoezi magumu ndio karate? Nyie ndio mnaaribu filosofia na falsafa nzima ya Karate, the way unavyoongea akija mtunwa miaka 50 hautaweza kamwe kumfundisha karate kwani akili yako iko kwenye kurusha watu kichura na kuwapanua misamba kwa nguvu
 
Hivi vyuo vipo hadi watoto wa miaka 4/5? Vp kwa kanda ya kipo wapi? Nataka nimpeleke mtt na mimi pia.
 
kwani Mazoezi magumu ndio karate? Nyie ndio mnaaribu filosofia na falsafa nzima ya Karate, the way unavyoongea akija mtunwa miaka 50 hautaweza kamwe kumfundisha karate kwani akili yako iko kwenye kurusha watu kichura na kuwapanua misamba kwa nguvu

Uko sawa watu wengi wanapenda kutishia watu lakini hili ni jambo la kawaida mno.Lakini huyu anayetaka kujifunza sio kwamba anataka ujuzi wa kukaba na kupora?Haya mambo lazima tuwe makini kidogo!!
 
kuna vitu nilitaka kufahamu kuhusu kung fu,yoyote aliye tayari ani inbox
 
Uko sawa watu wengi wanapenda kutishia watu lakini hili ni jambo la kawaida mno.Lakini huyu anayetaka kujifunza sio kwamba anataka ujuzi wa kukaba na kupora?Haya mambo lazima tuwe makini kidogo!!

sio kwamba nataka kukaba na kupora,mimi mwenyewe ni karateka ila ninachotaka kujua ni kuhusu kung fu(shaolin)
 
Angalia muvi za Bruce lee usiku kucha usilale atakutokea na kuanza kukufundisha kati ya saa 9 na saa 9.55 usiku uwe na kole kibao cha kupigia ngumi
 
duh kwa hiyo unamshauri a copy na ku paste bruce lee movessss
 
Back
Top Bottom