Natafuta mtaalam wa kung fu

Natafuta mtaalam wa kung fu

nipo serious jamani
mimi pia nahitaji mkuu, ukimpata niambie naona watu wanaleta utani, jana nimeona kijana anaonewa na askari nikaumia sana, hapo ndo nikapatia wazo la kujifua na nilikuwa nianzishe uzi umeniwahi tu.
 
mimi pia nahitaji mkuu, ukimpata niambie naona watu wanaleta utani, jana nimeona kijana anaonewa na askari nikaumia sana, hapo ndo nikapatia wazo la kujifua na nilikuwa nianzishe uzi umeniwahi tu.

kweli mkuu
 
Njoon kwangu nafundisha kung fu..judo...karate...tai chi....mieleka....ong bak....uninja na ukomando
 
Huwez kumpata...huwa hawajitangaz......na kung-fu is for self defense.....Cempai dö
 
Wengi wanasahau mafunzo ya kunfu ni for self defense. Huwezi kufanikiwa ukiwa na wazo la kuanza kujifua kwa lengo la kudhibiti watu
ni kweli kabisa,sensei alishawahi kusema hila sual...kama unajifunza kwa ajili ya kupigana na watu basi usije shangaa hujui kamwe na ukilianzisha mtaani basi umerikologa,utapigwa we mpaka uahibike na ushike adabu.
lady jay dee anafanya kama fashion yule.na vyuo vingi vya karate viko kibiashara zaidi.just for attracting people to join,na kuwatunukuu vyeti huku hawajapata nondoz zaidi
pale tanganyika packars kuna dojo,tegeta,salasala,manzese,na kwa sensei ringo,ilikuwaga mwenge kama sikosei,nadhan ndiyo yupo lady jay dee huko.mtoa maada unakaa wapi kwani na unapenda ujifunzie maeneo gani
 
Back
Top Bottom