Natafuta mtaalam wa Gia box

Natafuta mtaalam wa Gia box

You have a point.

Kuna watu wanaweka hadi za kupima.

Unazungumzia duka lipi? Kisangani Autospares.
Kisangani hauzi genuine spare mzee pale kariakoo kuna maduka mawili tu yanayouza vifaa original ambayo ni duka la Toyota specific kwa magari ya Toyota na smart card anaeuza vifaa vya Toyota na Nissan wengine wote kariakoo nzima wanauza vifaa vya China sio Kisangani wala nani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisangani anakuwa na aina zote. Genuine au Mchina. Ni hela yako tu.
Mastercard (sio smart card) ni maarufu kwa genuine za Nissan.
 
Huu Uzi umenifurahisha na kunielimisha sana, haswa katika maduka ya speak napenda kuuliza Je hayo maduka (Toyota na Master Card) wanamafundi hapo ili mteja akifika anaweza kukaguliwa gari lake na wakamshauri nini cha kufanya?
 
Mafundi waliopo ni kukushauri usije ukanunua spare isiyo ya gari lako. Si zaidi ya hapo. Want assume una fundi wako aliyesema kitu fulani ni kibovu
 
Huu Uzi umenifurahisha na kunielimisha sana, haswa katika maduka ya speak napenda kuuliza Je hayo maduka (Toyota na Master Card) wanamafundi hapo ili mteja akifika anaweza kukaguliwa gari lake na wakamshauri nini cha kufanya?
Ahsante boss kwa kunisaidia kukumbuka jina la huyo jamaa ni master card na Toyota ndio wauzaji wa vifaa original vya magari hasa ya Toyota na Nissan na kwa wale wa magari ya Nissan wakishindwa kwenda kwa master card waende ofsini kwao pale vingunguti plot no 5 watapata vifaa genuine vya magari ya Nissan pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisangani anakuwa na aina zote. Genuine au Mchina. Ni hela yako tu.
Mastercard (sio smart card) ni maarufu kwa genuine za Nissan.
Mzee tunabishana wakati mm ni muuzaji wa spare za magari yule hauzi genuine badala yake ana copy nyingi sana za vifaa vya magari mfano air cleaner za gari ndogo pale Toyota wanauza 70,000 lakini Kisangani anauza 5000 na makasha yote yameandikwa genuine sasa ndo ujiulize kutoka 70,000 hadi 5,000 nani muuza genuine hapo?

Air cleaner ya Shs 5,000 pale Kisangani?
I can't believe it.
 
Mzee tunabishana wakati mm ni muuzaji wa spare za magari yule hauzi genuine badala yake ana copy nyingi sana za vifaa vya magari mfano air cleaner za gari ndogo pale Toyota wanauza 70,000 lakini Kisangani anauza 5000 na makasha yote yameandikwa genuine sasa ndo ujiulize kutoka 70,000 hadi 5,000 nani muuza genuine hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Anaeuza 5,000 ndo OG kwa definition ya kizalendo
 
Hakuna bei hiyo. Atakuwa anawapaka Kisangani maana naye yumo kwenye biashara hiyo.
Wewe ndo unayepotosha watu nenda hapo Kisangani uulizie air cleaner ya ist kama hutapewa kwa 5000? Au air cleaner huijui kwa jina lingine air filter na wauzaji wa reja reja huko mtaani wengi wanachukua kwa Kisangani kuanzia oil filter hadi transmission anauza vitu vya China kubali kataa og vinapatikana kwa Toyota wenyewe na MasterCard kariakoo nzima kwingine kote huko hakuna genuine spare

Kwako zipo genuine? Au na wewe unauza copy?
 
Back
Top Bottom