Natafuta msichana wa kuweka dukani

Hapo mkuu umesahau kigezo kimoja muhimu sana,
Awe na mvuto kimuonekano...!
 
Ikishindikana hata wvulana japo wadada ni waaminifu kuliko wanaume.
 
Kwa we wasiojua
Mombo ipo barabara kuu ya Arusha Moshi to Dar
 
Habari ndugu zanguni,

Natafuta kijana wa kazi awe msichana aliyemaliza form four awe mchangamfu awe anajua mahesabu ipasavyo.

Duka linajumuisha;

Huduma za kifedha
Kubadili gas
Kuuza nguo
Kuuza luku
Kuuza solar
Na vipodozi

Bidhaa zote ziko sehemu moja, vijana wanahitajika watatu na tayari mmoja keshapatikana.

Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0655048302 tafadhali usibeep wala kufanya mzaha nafasi ipo ni kweli mshahara maelewano.

Mnakaribishwa
ungehitaji mvulana ningekuja fasta maana nna uzoefu wa kuuza solar mpk sasa nipo na wachina tunauza bidhaa za solar kwa jumla.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom