Natafuta msichana wa kuoa

Natafuta msichana wa kuoa

Samahani wanajamii wenzangu kama sikueleweka. Niliposema kasoro, sina maana kuwa sitaki msichana kutoka MBY bali nilimaanisha umri wangu ni miaka 26 kasoro.
 
Kijana humu JF mi naona utaishia kuchorwa tu maana umesema we form six na nikiangalia quality ya post za kinamama wengi humu ni wazi wengi wao kisomo kimepanda na wanaonyesha wengi wao ni graduates,watakukubali kweli na madigrii yao? Kama wewe ni muumini mzuri nakushauri kaangaliangalie kwenye kwaya,hawa wa JF taifa kubwa achana nao.
 
Jamani mbona wengine tupo form 5?Alafu mapenzi sio elimu...usishangae akaopoa profesa!
 
Mie vigezo vote nnavyo. Ni PM.WE KABILA GANI? ila kama wewe ni mnyakiusa sikutaki
 
Mimi ni mkaka wa miaka 26 kasoro. Mimi ni mwenyeji wa MBY, nimemaliza 4m 6 na nina kazi. Hivyo najitokeza kwa mara ya kwanza ktk safu hii nikiwa serious kabisa kutafuta rafiki wa kike kwa uhusiano wa muda mrefu ili tukiendana tuoane. Napenda kuwa na familia. Asiwe amewahi kuolewa au kuwa na mtoto kwani hata mimi sijawahi kuoa wala sina mtoto. Umr 18-25, umbo la wastani, mkristo anayejiheshimu, elimu angalau kuanzia 4m 4, mchapa kazi, asitumie mkorogo na aliye tayari kuishi mazingira yoyote nchini. Hii ni nafasi ya yule tu aliye serious na swala hili.

mkuu mwenendo wa thread unaonyesha u-mvivu kuto-n-g-oza la sijui yale mambo ya hexa by hexa itakuwaje? Labda utembelee kwenye mikutano ya injili wako 'wapendwa' watakaokufaa.hapa Jf sahau.
 
Du master detectie hatimaye umeshampata mwa Jf mwanadada Jena mshindwane tena vigezo vinaoana bado nyie
 
Back
Top Bottom