Natafuta msichana mrembo kirafiki

Natafuta msichana mrembo kirafiki

Candle

Member
Joined
Jun 5, 2015
Posts
30
Reaction score
17
Sina maneno marefu sana. Moyo wangu uko barazani kusubiri ugeni wa mrembo wa ukweli tufurahie maisha. Mdomo wangu mzito nisiulizwe maswali mengi.

Wewe msichana wa ukweli tukutane PM

NB: Nahitaji urafiki kwa kuanzia japo unaweza kuishia ndoa.
 
watsaps app,tango,fb,insta utakutana na team wema chagua m1
 
Nimegungua hapa jf warembo wa ukweli zaidi tena wife material. Juzi kuna mtu kanipa ushuhuda namna jf ilivyomtoa
 
Kwa bahati mbaya sijabahatika bado kumpata yule mrembo ninayemhitaji, navuta subira nikijua yavuts heri
 
Back
Top Bottom