Natafuta mshirika

Groxygone

Member
Joined
Oct 10, 2026
Posts
10
Reaction score
5
Habari . Natafuta mtu mwenye ujuzi wa programming aliyepo Mwanza kwa ajili ya kushirikiana kutengeneza software na kugawana mapato. Nina miradi niliyoifanyia kazi na nataka tushirikiane kuendeleza miradi yenye fursa za kibiashara.
Email yangu glutlusosgiants@gmail.com
 
programmer sio lazima awe mwanza, hizi kazi unafnya ukiwa popote mradi makubaliano!
PM tuongee kama tutaweza kukubalian
 
programmer sio lazima awe mwanza, hizi kazi unafnya ukiwa popote mradi makubaliano!
PM tuongee kama tutaweza kukubalian
Asante . Nattafuta mshirika wa kuanzisha na kuendeleza mradi pamoja. Nilipendelea mtu wa Mwanza kutokana na changamoto yangu ya gharama za intaneti, lakini niko tayari kujadiliana kuhusu ushirikiano wa mbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…