Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 35,097
- 100,924
Mhola nyanda ja kwenoko?Niwilaghe mkema olemora ene
Mhola nyanda ja kwenoko?Niwilaghe mkema olemora ene
Natamani ningejua kuongea kilugha, naishia kutamani kwa watuBeng'we! 🙌
Leo mpaka useme na hapo bado wengine hawajaamka🤣Me sipendi kwenye uzi wangu naanza story za kwenu huko kilima nyani
Aah hapo sawa, leo ndio nimegundua una akili mingi sana mwanetu! Congs!Ni kwamba ukiwa unaishi kwa shemeji siku dada ako akipewa talaka na wewe unaweza chukua nafasi ya dada ndo msimuliaji anajichetua kuchukua nafasi ya dada ake
Hivi kwa nini msukuma akiwa anaongea kilugha uwa anaonekana bonge la mshamba tofauti na makabila mengineUmenikumbusha kuna rafkiangu tukienda naye hata bar anaongea kisukuma tena kwa sauti hakafu tupo na watu, ukimuona alivyo pisi kali sasa🤣
hapana hamia kwakoNihamie kwako? Unibemende
Ni raha sana mimi naandika tu ila naona raha, siku nikiweza kuongea mfululizo watanikoma🤣Natamani ningejua kuongea kilugha, naishia kutamani kwa watu
Utapitiamo!Aa au sio ukweli ndo unawapelekesha
Si huwa wanasema sisi washamba! Cha ajabu ushamba upo kila Kona ya hii dunia! Kama juzi kati nimeenda pale Amell, nikamuona yule cate breezy jamani ni lizuri live lirefuu! Linaongea kisukuma balaa🤣Hivi kwa nini msukuma akiwa anaongea kilugha uwa anaonekana bonge la mshamba tofauti na makabila mengine
Unawabeza sana vijana hasa katika lika ili la utafutaji unajua namna ya kutafuta pesa ukitokea familia ya kitanzania lakini?Unanitukana unataka nikusanye taalifa zako nikufungulie uzi?
Nyie washamba nn kapigeni story zenu PmSi huwa wanasema sisi washamba! Cha ajabu ushamba upo kila Kona ya hii dunia! Kama juzi kati nimeenda pale Amell, nikamuona yule cate breezy jamani ni lizuri live lirefuu! Linaongea kisukuma balaa[emoji1787]
Unaleta stori za mwajuma kiumeni?Kwani me mwarabu
Mhola nooh mwanike wawhiza, nilelolah ulelyaa nfhulu doohMhola nyanda ja kwenoko?
Kwa ubaguzi huo hawezi pata mtu labda BushutuleYani kama raisi wa nchi fulani anatafutiwa kigoli kumbe house help tu! wewe nenda tiktok huko utapata!