Natafuta mrembo mkoani mbeya

Natafuta mrembo mkoani mbeya

pozzyfaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,453
Reaction score
268
Naitwa Chriss nipo mkoani mbeya, natafuta mrembo wa kunikinga na baridi, awe na mwonekano poa.
 
Hivi mbeya hakuna warembo wa kununua? Asprin najua nchi hii umetalii yote. Msaada hapa kuna njema inafreeze!
 
Last edited by a moderator:
Jiandae kuzikwa kilo mbili maana Mbeya ni moja ya mikoa inayoongoza kwa maambukizi ya Ukimwi...nenda hapo Carnival Mafiati/Mwanjelwa utawapata wengi tu...

carnival.JPG
 
Hivi mbeya hakuna warembo wa kununua? Asprin najua nchi hii umetalii yote. Msaada hapa kuna njema inafreeze!

Siku hizi siyo wa kununua tu, bali pia wamejaa tele wanaotafuta njemba za kununua. Mwenzetu hana bahati au vinginevyo anawatafutia makaburini
 
Jiandae kuzikwa kilo mbili maana Mbeya ni moja ya mikoa inayoongoza kwa maambukizi ya Ukimwi...nenda hapo Carnival Mafiati/Mwanjelwa utawapata wengi tu...

carnival.JPG

Mpwa naona hutaki shemeji kijanja LOL
 
Naitwa Chriss nipo mkoani mbeya, natafuta mrembo wa kunikinga na baridi, awe na mwonekano poa.
Kwa ushauri wangu ungeanza kutafuta jeneza ndio utafute wa kukutoa baridi ili baridi ikiisha na tunaanza maandalizi ya kukuhifadhi ndugu yetu mpendwa
 
Back
Top Bottom