natafuta mrembo humu


JF kuna warembo? warembo unakwenda Ohio.
 

kupanga ni kuchagua,nimeshachagua nilivyopanga nataka mrembo,urembo unahusisha vingi hata uzuri wa avatar unahusika,ya kwako nzuri MREMBO.big up.

jamani eeeh nimesema nataka mrembo anielekeze mazingira ya humu sio mke sasa mnaniambia niende facebook huo ndo ukarimu gani?sasa mrembo wa facebook atanielekeza mazingira ya humu?tujipange wadau tunapotoa ushauri na tusiwe na mawazo negative..

.......douchebag.......
Uzi wako hauna mantiki yoyoye, ulichofanya ni kukusanya maneno na kutengeneza sentesi zilizoleta maana lakini hakuna mantinki.
Kwanza, JF si nyumba au mtaa au eneo kiasi utafute mtu wa kukuelekeza. Hapa sio downtown D'slam au Harlem au Peking.
Pili, kanuni za kujiunga JF zimeelekezwa kwa mtu binafsi na wala sio watu au kikundi cha watu, hivyo hakuna mtu wa kumuelekeza mtu mwingine. Kama unajua kusoma na kuandika hilo pekee linatosha.
Tatu, kabla hujaingia jukwaa lolote, soma mabandiko elekezi ambayo hupatikana katika ukurasa maskani wa kila jukwaa.

Ushauri: Hapa ni kazi tu, umaarufu mtaani kwenu na ndio maana unajiita bigIQ wakati mawazo na fikra zako ni ndogo kama mdudu chungu.
 
kua mpole me nimekuelewa sana , fanyia kazi sasa, ushindwe mwenyeweeeeeeeeeeee, hafu acha ubaguzi we mazingira ya humu tu unataka mrembo, shauriyako na huo uchaguzi wako

pamoja sana suprise
 

Karibu mgeni jisikie uko sehemu salama, utakaa kwenye sofa au mkekani? je utalala au umekuja kushinda tu? unatumia kinywaji gani? unapendelea kula nini? hapo kwa Mangi kuna kila kitu chips, mdudu, kwiyo na chochote unachotaka. Ukijisikia kula chochote ni pesa yako tu, kumbuka na sie tuko 10 tu wengine wameenda x mas kwa bibi.
 

nadhani uwezo wako wa kufikiri unaishia kwenye ncha ya pua yako,una uwezo kujudge kitu kama unavyokiona juu hauwezi kuchanganua kwa undani iliyotumika hapo ni lugha ya picha na wenye akili wameelewa na wamechangia inavyotakiwa,nani amesema hii ni place kama D'salaam,ukifikiria sana we ndo una ubongo mdogo coz hakuna sababu ya kukashfiana but all in all nashukuru kwa maelekezo yako we ndo aina ya warembo niliokuwa nawataka,nilijua ntawapata tu.
 

hehehehe....umemaliza??? nyie viJunior member huwa mna matatizo sana, sijui mnaambukizana ujinga na kutokuwa na heshima...
once a douchebag.....always a douchebag!!!
 
au mcheki belinda jacob maana midomo yake tu yaonesha ni mtamu vya kutosha,madam b atakuua maana anaabudu hela.
 
kua mpole me nimekuelewa sana , fanyia kazi sasa, ushindwe mwenyeweeeeeeeeeeee, hafu acha ubaguzi we mazingira ya humu tu unataka mrembo, shauriyako na huo uchaguzi wako
ugoni unamsumbua huyo mzee.
 
hehehehe....umemaliza??? nyie viJunior member huwa mna matatizo sana, sijui mnaambukizana ujinga na kutokuwa na heshima...
once a douchebag.....always a douchebag!!!

marked.sina muda na taarabu
 
hehehehe....umemaliza??? nyie viJunior member huwa mna matatizo sana, sijui mnaambukizana ujinga na kutokuwa na heshima...
once a douchebag.....always a douchebag!!!

watu8 kwa heshima yako mkaushie tu, u don have to say ol that baby
 
Basi na we msamehe bure
nimesema hivi kwa kumaanisha kwamba watu nane ni heavy weight sasa akibishana na watu wenye uzoefu mdogo heshima itashuka sina maana ya kumsimanga.watu nane ni katika kuwekana sawa tu mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…