huwezi kulala njaa, huo ni mtazamo wako, utalala njaa ukipenda mwenyewe. si unajuwa maisha ni kusaka noti
ni kweli mkuu, japokuwa uzuri wa mwanamke ni tabia siyo sura
Kwa shahada hiyo sijui kama utawapata.Hellow Wadau wa Jamii Forum, habari za leo? Mimi ni kijana wa miaka 28, naishi Ubungo( Dar es salaam) nina shahada ya utatwala, natafuta mpenzi kuanzia 21-28, awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea na awe na sifa zifuatazo, mkweli, awe na heshima, asiwe na majivuno au dharau, kama una sifa hizo nicheki kwa Email address mhassani84@yahoo.com
Hellow Wadau wa Jamii Forum, habari za leo? Mimi ni kijana wa miaka 28, naishi Ubungo( Dar es salaam) nina shahada ya utatwala, natafuta mpenzi kuanzia 21-28, awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea na awe na sifa zifuatazo, mkweli, awe na heshima, asiwe na majivuno au dharau, kama una sifa hizo nicheki kwa Email address mhassani84@yahoo.com
Wanapatikana bwana.....acha kumtisha mwenzio.
Kikosi cha Mizinga pia tupogo!!!!!
Maisha ni kusaidiana katika kuyasaka mahela, fursa kibao
Duuu sina taarifa kama jina limebadilika kuwa KIKOSI CHA MIZINGA!!!!! We mtoto umepinda vibaya mno! Nimechekaje!
hiii ndio finale aiseee...lazima akae.Asante kaka ops.
Hata nami nilikuwa nahitaji mchumba mwenye vigezo kama vyako.
Nina miaka 22, naishi Masaki, sina dharau ila nina maringo kidogo kwa kuwa najijua mie ni mzuri.
Nafanya kazi Tanesco, Kurasini.
Email yangu ni sipendivibamiainch5@gmail.com.
Tutafutane, kuna watu wananililia.