Natafuta mpenzi

Natafuta mpenzi

huwezi kulala njaa, huo ni mtazamo wako, utalala njaa ukipenda mwenyewe. si unajuwa maisha ni kusaka noti
 
Wakati unasoma shahada yako ya utawala ulishindwa kufanya mahusiano na watawala wenzio unakuja kutafuta huku duniani hakika............Bado unasafari ndefu
 
jaribu na njia nyingne za kutafuta kama makanisani, misikitini, sokoni na mtaani kwako
 
huwezi kulala njaa, huo ni mtazamo wako, utalala njaa ukipenda mwenyewe. si unajuwa maisha ni kusaka noti

hee! Kwahiyo lazima namimi nikatafute pesa c ndiyo? Alaf ukitaka kumjibu mtu nenda kwenye post yake kwenye sehem y reply! Ama mtaje kwa kuacha nafasi kisha weka alama ya@ weka jina acha nafasi alaf lisongeshe .utaeleweka vizuri!
 
Hellow Wadau wa Jamii Forum, habari za leo? Mimi ni kijana wa miaka 28, naishi Ubungo( Dar es salaam) nina shahada ya utatwala, natafuta mpenzi kuanzia 21-28, awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea na awe na sifa zifuatazo, mkweli, awe na heshima, asiwe na majivuno au dharau, kama una sifa hizo nicheki kwa Email address mhassani84@yahoo.com


Mpenzi kwa ajili ya lile tendo au wa kawaida? na kama ni walile tendo je.... unkubali wakiume/gasho?
 
Hellow Wadau wa Jamii Forum, habari za leo? Mimi ni kijana wa miaka 28, naishi Ubungo( Dar es salaam) nina shahada ya utatwala, natafuta mpenzi kuanzia 21-28, awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea na awe na sifa zifuatazo, mkweli, awe na heshima, asiwe na majivuno au dharau, kama una sifa hizo nicheki kwa Email address mhassani84@yahoo.com

Wale wote wanopita pale kuanzia asubuhi hadi jioni hujaona anaekufaa!!!??? Au ndo unataka shortcut: aku-pm, akutumie no ya sm, umuombe picha wasap.......fb account.....
Halafu hizi sifa mnazoandikaga humu hivi huwa mnamaanisha!!!!!!!!!
 
Mkuu hawapatkan humu kuwa makin weng wao wanapenda mzinga
 
yote sawa, hujakosea mkuu kila mtu na mipango yake,
 
Ok, hila la mizinga nalijuwa ndiyo maana sitaki kusema ninakipato kiasi gani
 
katika maisha yangu sikumbuki lini niliwahi kumtukana binadamu mwezangu, huwa naheshimu watu sipendi kumtukana mtu. mungu akusamehe kwa maoni yako.
 
nipo serious, siyo kama unavyofikiria ww
 
Hellow Wadau wa Jamii Forum, habari za leo? Mimi ni kijana wa miaka 28, naishi Ubungo( Dar es salaam) nina shahada ya utatwala, natafuta mpenzi kuanzia 21-28, awe na elimu kuanzia kidato cha nne na kuendelea na awe na sifa zifuatazo, mkweli, awe na heshima, asiwe na majivuno au dharau, kama una sifa hizo nicheki kwa Email address mhassani84@yahoo.com

Mapenzi hadi utoe CV yako! kweli kizazi hiki noma.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom