Kwa umri wako mdogo angu, kibongo bongo kama haujatokea kwenye familia ya kishua basi bila shaka ni kijana ambae bado unajitafuta., masuala ya kuanzisha mahusiano bora yaache kwanza, hawa wanawake wa kiafrika ni liability tu kwa mwanaume. Tilia mkazo kwenye kujitafuta kwa kubuni miradi, kuongeza elimu au kunoa kipaji/kipawa chako(kama umekigundua). Ukifika 30's utakua ushajipata hawa wanawake watakua tambalale tu ni wao wenyewe ndio watakutafuta mpaka utaona kero.